Timu ya Beach Soccer kuelekea Misri March 19

Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni inatarajiwa kuondoka siku ya alhamisi kuelekea jijini Cairo nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika kwa soka la ufukweni utakaofanyika siku Jumapili

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS