Walimu kuanzisha benki yao ili kujikwamua Chama cha wa walimu na kampuni ya walimu nchini wanataanza kuuza hisa kwa ajili yakukusanya Mtaji ili kuanzisha Benki ya Walimu nchini ambayo itawasaidia walimu pamoja na watanzania kwa ujumla. Read more about Walimu kuanzisha benki yao ili kujikwamua