MWANAFUNZI ATEKWA, ABAKWA NA KUUWAWA
Hali inazidi kuwa mbaya sasa! Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Mabibo, Dar, Irene Said (15) ametekwa, amebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili huku ikidaiwa kuwa kijana