Kavumbagu aishusha Yanga Ligi kuu Tanzania Bara Azam Fc imerejea kileleni mwa Ligi kuu Soka Tanzania Bara, kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda Fc ya Mtwara, Uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam. Read more about Kavumbagu aishusha Yanga Ligi kuu Tanzania Bara