Mt Number one ajipanga kimataifa Unapozungumzia vijana wanaofanya poa kwa sasa katika gemu la Afrika Mashariki huwezi acha kumtaja Mt number one, jamaa kutoka Burundi lakini makazi yake kwa sasa ni USA. Read more about Mt Number one ajipanga kimataifa