TFF yapata bendera yake kwa mara ya kwanza

Rais wa TFF, Jamal Malinzi

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) jana limefanya Mkutano Mkuu wa Mwaka katika ukumbi wa Morogoro hoteli ya mjini Morogoro ambapo mgeni Rasmi alikua ni mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr Rajabu Rutengwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS