Kaijage- Kikosi kimeimarika kupambana na Zambia
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, Rogasian Kaijage amesema, kikosi chake kinauelekeo mzuri kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kufuzu Kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Zambia itakayochezwa Machi 22, mwaka huu Lusaka Nchini Zambia.