Sijaridhishwa na kasi ujenzi wa madarasa - Kairuki Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Angellah Kairuki ametaja kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa madarasa ya kidato cha kwanza katika wilaya ya urambo mkoani Tabora Read more about Sijaridhishwa na kasi ujenzi wa madarasa - Kairuki