Ngumi na burudani kutikisa Dar
Burudani kali na aina yake kutoka mpambano mkali wa Masumbwi itachukua nafasi yake ndani ya Jiji la Dar katika ukumbi wa Diamond Jubilee, na kutoa nafasi kwa watu wote kushuhudia mapambano makali kabisa kuwahi kutokea ya ndondi.