Shilole: Vijana wajiandikishe waweze kupiga kura

msanii wa miondoko ya bongofleva nchini Shilole

Kampeni kubwa ya ZamuYako2015 yenye lengo la kuhamashisha vijana kushiriki katika zoezi kujiandikisha kupiga kura, imeendelea kupamba moto ikiendelea kuungwa mkono na wasanii mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS