Mtoto auawa na Mjomba wake kwa Kuchinjwa na sululu
Mtoto mwenye umri wa miaka 05 aliyetambulika kwa jina la Jonson Mwamwere, mkazi wa Nsalaga jijini Mbeya, aliuawa kwa kupigwa sululu kichwani na kutenganishwa kichwa na kiwiliwili na mjomba wake aitwaye Yona Mwamwere.