Simba yaendelea kuwaza kunyakuwa Kombe la ligi kuu
Klabu ya Simba imesema inaamini mbio za kuelekea kuchukua Ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara upo na wanaamini watashinda kutokana na kikosi hicho kuwa na ushirikiano na kujiamini wawapo uwanjani.