Kata ya Mtyangimbole yapata mradi wa maji Wananchi wa kata ya Mtyangimbole halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wametoa zawadi ya mbuzi kwa viongozi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Read more about Kata ya Mtyangimbole yapata mradi wa maji