Tundaman kumshangilia Mashali kesho
Ikiwa kesho ndiyo siku kubwa ya mpambano wa Masumbwi wa Night of Knock-outz pale Diamond Jubilee, kutoka tasnia ya muziki wasanii wameendelea kuonesha hamasa kubwa na pia kuwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mpambano huo.