Serikali haitavumilia mauaji ya albino-JK

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa watu wenye Ulemavu wa ngozi jana Ikulu.

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amekutana na Viongozi wa Chama cha Watu wenye Albino Tanzania na kuahidi kufanya kila liwezekanalo kuongeza nguvu ili kumaliza tatizo la amauaji ya dhidi ya Albino.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS