Wafanyabiashara Njombe wafunga maduka masaa sita.`

Kibao cha Umoja wa Wafanyabiashara wadogo Mkoani Njombe.

Wafanya biashara katika miji ya makambako na njombe Hapo jana wameendesha mgomo wa masaa sita kwaajili ya kuungana na mfanyabiashara mwenzao Mekisoni Sanga ambaye kesi yake ilikuwa ianze kusikilizwa katika mahakama ya wilaya ya njombe

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS