Ripoti ya LST yabaini uwezo mdogo wa wanafunzi
Mwenyekiti wa kamati ya kufuatilia tathmini ya mafunzo yanayotolewa na taasisi ya uanasheria kwa vitendo nchini (LST) Dkt Harrison Mwakyembe, amekabidhi ripoti na kuanisha changamoto ambazo ni miongoni mwa vikwazo katika kupata wanafunzi bora wanaosomea fani ya sheria.