Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo
Pato la Taifa kwa kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka 2014 toka Julai mpaka hadi Septemba 2014 limekuwa na kufikia Trillion 21.2 ikilinganishwa na Trillion 19.8 kipindi kama hiki mwaka 2013.