Tanzania yapata Hasara sababu ya Vita nchi jirani Tanzania imekuwa ikipoteza mamilioni ya shilingi kutokanana vita zinazoendelea katika eneo la nchi za Maziwa Makuu kama vile Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Somalia na Sudani Kusini. Read more about Tanzania yapata Hasara sababu ya Vita nchi jirani