Kala apigania haki za walemavu msanii wa bongofleva nchini Kalajeremiah Staa wa muziki Kala Jeremia, amefunguka juu ya projekti yake yenye lengo la kuongeza uelewa kwa jamii dhidi ya walemavu, ambayo ameifanya akishirikiana na msanii kutoka Kenya anayefahamika kwa jina Baba Gurston. Read more about Kala apigania haki za walemavu