Sijahuzunika kuzushiwa kifo-Mama Maria Nyerere Mke wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere. Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere amesema baada ya kupokea taarifa za kuzushiwa amefariki dunia juzi hakushtushwa na uvumi huo badala yake alifanya sala. Read more about Sijahuzunika kuzushiwa kifo-Mama Maria Nyerere