Watu 173 wakamatwa kwa ushirikina Rukwa Jeshi la polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watu 173 wanaojihusisha na vitendo vya kishirikina maarufu lama lambalamba ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za kukomesha vitendo hivyo mkoani humo Read more about Watu 173 wakamatwa kwa ushirikina Rukwa