Hakuna ndege inayotoka na mnyama - Waziri Chana Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Balozi Dkt. Pindi Chana amesema hakuna ndege yoyote iliyotoka na mnyama katika hifadhi za Tanzania kama ilivyozushwa katika mitandao ya kijamii hivi karibuni Read more about Hakuna ndege inayotoka na mnyama - Waziri Chana