Tanzania yapanda viwango utawala wa sheria duniani

Rais Samia

Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imetajwa kupiga hatua ya kihistoria kuelekea mfumo wa kisheria unaowajibika zaidi na wa haki, kama ilivyotajwa kwenye ripoti ya mwaka 2024 ya Mradi wa Haki Duniani (WJP) kuhusu utawala wa sheria. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS