Sheikh Ponda ataka uhuru imara wa habari

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda amesema endapo angepata nafasi ya kukutana na kiongozi wa juu wa nchi angemshauri kuhakikisha anaweka misingi imara ili tasnia ya habari iepukane na sheria kandamizi 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS