Kundi la 17 laondoka Ngorongoro

Kundi la 17 lenye jumla ya kaya 34  na watu 179 pamoja na Mifugo 625 leo Januari 12 limeondoka rasmi kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea kijiji cha Msomera kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS