Ndoto ya Samatta kucheza Old Trafford yakatishwa

Nyota huyo wa zamani wa K.R.C. Genk ya Ubelgiji, TP Mazembe ya Congo DR na Aston Villa ya England kumbukumbu nzuri ya maisha yake ni kufunga goli dhidi ya Manchester City mahasimu wa United kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Carabao mwaka 2020.

Nahodha wa Tanzania Mbwana Ally Samatta atakosekana kwenye kikosi cha PAOK cha nchini ugiriki kilichosafiri kuelekea England kucheza  mchezo wa leo Europa League dhidi ya Manchester United uwanja wa Old Trafford saa tano usiku wa leo. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS