Walioenda Afrika Kusini bila utaratibu wahukumiwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miezi sita jela au kulipa shilingi 40,000 kwa kila mmoja jumla ya Watanzania 64 waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya jinai namba 31302/2024 ya kuondoka nchini kwenda Afrika Kusini bila kufuata taratibu za uhamiaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS