Serikali yakabidhi kivuko cha MV Sabasaba
Serikari imekabidhi kivuko cha Mv Sabasaba kitakachotoa huduma ya usafiri kwenye kisiwa kisiwa cha Kome halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza hatua inayotajwa kuwaondolea adha ya usafiri wananchi wa kisiwa hicho