Idai ya wanawake kuongezeka bunge la Sierra Leone Bunge nchini Sierra Leone limeidhinisha kwa kauli moja sheria itakayohakikisha kuwa mmoja kati ya wabunge wake watatu, na theluthi moja ya madiwani wote wa eneo hilo, ni wanawake. Read more about Idai ya wanawake kuongezeka bunge la Sierra Leone