
Muswada huo sasa utakwenda kwa Rais Julius Bio kusainiwa kuwa sheria.
Licha ya kuwa ahadi muhimu katika kampeni zake za uchaguzi wa 2018, ilichukua miaka mitatu kwa baraza la mawaziri kuidhinisha rasimu hiyo.
Toleo la awali liliondolewa juu ya ufundi.Kwa sasa ni wabunge 19 tu kati ya 146 wa Sierra Leone ambao ni wanawake.
Hii ina maana kwamba Rais Bio akitia saini itakua kwamba mmoja kati ya wabunge wake watatu, na theluthi moja ya madiwani wote wa eneo hilo watakua ni wanawake ni wanawake.