Mawaziri waketi kikao cha kulinda vyanzo vya maji

Mawaziri wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jafo

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, ameshiriki kikao kazi cha kujadili mkakati wa kulinda vyanzo vya maji na maeneo yaliyohifadhiwa, kilichoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Selemani Jafo kwa Niaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS