Vita ya kukaa kileleni ligi kuu Tanzania bara
Michezo ya ligi kuu Tanzania bara itaendelea leo na kesho kwa michezo kuchezwa viwanja tofauti nchini, leo Novemba 6 uwanja wa KMC Complex utachezwa mchezo utakaozikutanisha timu za Simba SC dhidi ya KMC FC na Kesho Yanga SC itakipiga dhidi ya Tabora United Azam Complex Chamazi Dar es sal