Prof Jay alifanya Fid Q Asiache Muziki

Pichani ni Profesa Jay Na Fid Q

Legend wa Muziki Professor Jay Ametupitisha kidogo story yake kwa ufupi na msanii mwenzie Fid Q ambapo ameeleza kuwa yeye ni mmoja wa Wasanii waliomfanya Fid Q azidi kupambania muziki kipindi ambacho alitaka kuachana nao kabisa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS