IGP afanya mabadiliko IGP Camillus Wambura IGP Camillus Wambura amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Muslim kwenda kitengo cha miopango makao makuu na nafasi yake imechukuliwa na ACP Alex Mukama ambaye alikuwa RPC Songwe. Read more about IGP afanya mabadiliko