WATANZANIA WATAKIWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI
Idadi kubwa ya wakazi wa Tanzania hasa waishio maeneo ya vijijini wapo hatarini kuendelea kukosa maji safi na salama kutokana na kushindwa kutunza vyanzo vya maji hali inayochangiwa na shughuli za binadamu.