Viongozi watakiwa kumuenzi Nyerere kwa vitendo Viongozi walioko madarakani wametakiwa kuwa wazalendo na kumuenzi hayati baba wa taifa kwa vitendo katika kuhakikisha raslimali zilizopo hapa nchini zinawanufaisha watanzania badala ya watu wachache. Read more about Viongozi watakiwa kumuenzi Nyerere kwa vitendo