Moto wateketeza soko la Urambo, Tabora
Moto uliowaka zaidi ya masaa 9 umeteketeza meza zaidi ya 250 na maduka zaidi ya 330 ya wafanyabiashana, huku wananchi wakihangaika kuuzima kwa kutumia mchanga, katika soko kuu la mji mdogo wa Urambo mkoni Tabora usiku wa kuamkia leo.