Linex ashauri chipukizi waongozwe
Kutokana na tatizo endelevu la mashindano mengi ya kutafuta vipaji vya kuimba kushindwa kuendeleza wasanii wanaowaibua katika sanaa hiyo, msanii Linex Sunday amesema kuwa tatizo hilo linachangiwa na wasanii hawa kukosa muongozo na uelewa wa soko.