Askari polisi 3 wafukuzwa kazi Kagera Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Henry Mwaibambe JESHI la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari Polisi watatu kwa kosa la kukosa maadili mema ya jeshi la Polisi. Read more about Askari polisi 3 wafukuzwa kazi Kagera