Wasanii wafunguka juu ya Katiba Inayopendekezwa
Huku kukiwa na sintofahamu kubwa juu ya namna katiba mpya ilivyohusisha wasanii na namna watakavyofaidika, eNewz imeweza kuongea na baadhi ya wasanii kufahamu maoni yao juu ya Katiba iliyopendekezwa kwa mheshimiwa Rais.