Afande: bifu hazina mwisho mzuri
Msanii mkongwe wa muziki hapa Bongo, Afande Sele amezungumzia swala la ugomvi kati ya wasanii na uhusiano wake katika kumuinua ama kumpoteza msanii ambapo amekiri kuwepo kwa ugomvi wa kutengeneza ambao mara nyingi hauna mwisho mzuri kwa jamii.