Tyler Perry kutua Kenya Muigizaji wa nchini Marekani Tyler Perry Msanii mahiri wa filamu , Tyler Perry kutoka Marekani anatarajia kutua nchini Kenya mwezi Novemba mwaka huu kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa Kimataifa wa masuala ya uongozi. Read more about Tyler Perry kutua Kenya