Wakulima wa mahindi wakataa uwepo wa madalali
Wakulima wa mahindi mkoa wa Arusha wameitaka serikali iwasimamie mawakala waliopata zabuni ya kununua mahindi, wayanunue moja kwa moja kwa wakulima na si kwa wafanya biashara kama ilivyo sasa kitu ambacho kinarudisha nyuma maendeleo ya wakulima.