Chiwaman, Rose Ndauka waficha makubwa
Msanii wa muziki Chiwaman, pamoja na mama wa Mtoto wake Rose Ndauka wamewaacha mashabiki wao katika sintofahamu kubwa kwa kitendo chao cha kumwagana na kuiweka sababu ya wao kutengana kuwa ni siri kubwa licha ya jitihada zilizofanyika kujua ukweli.