Madeni ya walimu ni kipaumbele kwetu - Serikali

Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungao wa Tanzania Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda.

Serikali nchini Tanzania imesema imeongeza juhudi katika kutatua changamoto zinazoikumba sekta ya elimu hasa maslahi ya walimu na kusema kwa sasa wanalishughulikia suala la kumaliza madeni yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS