Serikali inaandaa sera ya usimamizi ardhi
Serikali nchini Tanzania imesema mchakato wa kuandaa sheria itakayohusu usimamizi wa masuala ya ardhi itakayolenga kuondoa migogoro ya mara kwa mara inayojitokeza kwa sasa ikiwemo ya wananchi na wawekezaji pamoja na wakulima na wafugaji.