WAKALI SISI VINARA DANCE 100% 2014
Fainali ya mashindano makubwa kabisa ya kudansi Afrika Mashariki, Dance 100 2014, yamefanyika leo kwa mafanikio makubwa na kundi la Wakali Sisi kufanikiwa kuibuka kidedea katika nafasi ya kwanza kama wakali wa kudansi kwa mwaka huu.