Kinara wa Dance 100 kujulikana leo!
Mashindano makubwa kabisa ya kudansi ya Dance 100 2014, yameanza leo baada ya kila kitu kukaa katika mstari tayari kwa mpambano mkali wa makundi 5 kuwania taji kubwa la ukali wa dance Afrika Mashariki kwa mwaka huu.