Xstatic afafanua kubadilisha meneja rapa wa kike nchini Kenya Xstatic Rapa Xtatic kutoka nchini Kenya, ametangaza rasmi timu mpya itakayokuwa inasimamia kazi zake za muziki, Broadview Corporation ambapo ameamua kuachana na Rockstar 4000 waliokuwa wanamfanyia kazi hiyo. Read more about Xstatic afafanua kubadilisha meneja